Habari zilizokosekanaHonda yapanga majaribio ya kuchaji malori yanayotembea bila waya
Honda, Taisei na Taisei Rotec wameunda teknolojia ya kuchaji magari ya umeme kupitia barabara. Majaribio kwenye barabara za umma yamepangwa kuanzia mwaka wa fedha wa Japani 2027.
